Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 2.4.3 Apk

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 2.4.3 icon
Requires: Android 4.1 and up
Curent version: 2.4.3
Updated: 16.01.2022
Price: Free
Size: 7.72 Mb
Download: 71

Rate saved, Thank!

4.8 (1 votes)

Description of Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote. App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini. Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline) Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 FEATURES ★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini. ★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline) ★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi. ★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote ★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo ★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya ★ Kuchagua aina ya fonti za aya ★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Read more...

Images

Share this App

Also from Robert Londo

Similar apps

Tenzi za Rohoni 1.16 Apk

Tenzi za Rohoni

Lifestyle
J&S Services
2.62 Mb
Download Apk
Tenzi Za Rohoni 1.0.3 Apk

Tenzi Za Rohoni

Books & Reference
Goodhopedesigns and Informatics
39.14 Mb
Download Apk
Tenzi Za Rohoni 1 . 9 . 4 Apk

Tenzi Za Rohoni

Books & Reference
Awesomecode Tanzania
5.74 Mb
Download Apk
Tenzi za Rohoni 1.0 Apk

Tenzi za Rohoni

Books & Reference
Secure Technologies
7.49 Mb
Download Apk
About Privacy Policy Feedback Report a policy violation