Nyimbo Za Kristo 2 . 0 . 0 Apk

Nyimbo Za Kristo 2 . 0 . 0 icon
Requires: Android 4.1 and up
Curent version: 2 . 0 . 0
Updated: 02.02.2022
Price: Free
Size: 11.65 Mb
Download: 137

Rate saved, Thank!

4.8 (1 votes)

Description of Nyimbo Za Kristo

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP). Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni. Haitahusisha Matangazo- “..mmepata bure toeni bure.” – Mathayo 10:8 There will be No ads in this app "Freely you received, so freely give." - Matthew 10:8 Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu • Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza • Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona inafaa. • Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza. • Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa utukufu wa Mungu.

Read more...

Images

Share this App

Also from Awesomecode Tanzania

Holy Bible (NKJV) 1 . 5 . 8 Apk

Holy Bible (NKJV)

Category: Books & Reference
Free
Download Apk
Swahili-English Bible (Biblia Takatifu) 1 . 7 . 0 Apk

Swahili-English Bible (Biblia Takatifu)

Category: Books & Reference
Free
Download Apk
Tenzi Za Rohoni 1 . 9 . 4 Apk

Tenzi Za Rohoni

Category: Books & Reference
Free
Download Apk

Similar apps

Nyimbo za Kristo SDA, sda hymnal 2.1.16 Apk

Nyimbo za Kristo SDA, sda hymnal

Books & Reference
Robert Londo
9.6 Mb
Download Apk
Nyimbo Za Kristo 4.1 Apk

Nyimbo Za Kristo

Books & Reference
Robert Ouko Ohuru
2.53 Mb
Download Apk
Nyimbo Za Kristo 1.0.1 Apk

Nyimbo Za Kristo

Music & Audio
Robert Mayore
3.08 Mb
Download Apk
Nyimbo Za Roho Mtakatifu + 2.1 Apk

Nyimbo Za Roho Mtakatifu +

Books & Reference
Secure Technologies
4.99 Mb
Download Apk
KRISTO ASORE NNWOM 2.4.1 Apk

KRISTO ASORE NNWOM

Books & Reference
Renaeon Ltd
2.3 Mb
Download Apk
Christian Hymns - Nyimbo Cia Kiroho 1.0 Apk

Christian Hymns - Nyimbo Cia Kiroho

Books & Reference
Secure Technologies
6.22 Mb
Download Apk
Nyimbo za Kikuyu 1.1.2 Apk

Nyimbo za Kikuyu

Books & Reference
Google Commerce Ltd
9.72 Mb
Download Apk
Nyimbo Cia Kiroho 5.0 Apk

Nyimbo Cia Kiroho

Books & Reference
Kazi Apps: Super Apps and Games
5.42 Mb
Download Apk
Enyimba Za Kristo 1.0.1 Apk

Enyimba Za Kristo

Books & Reference
Tinashe Mzondiwa
1.54 Mb
Download Apk
Nyimbo Za Wokovu 3.0 Apk

Nyimbo Za Wokovu

Books & Reference
Kazi Apps: Super Apps and Games
4.38 Mb
Download Apk
Nyimbo za Injili 1.0 Apk

Nyimbo za Injili

Books & Reference
Secure Technologies
7.54 Mb
Download Apk
Nyimbo Za Wokovu  . 1.0 Apk

Nyimbo Za Wokovu .

Books & Reference
Secure Technologies
7.72 Mb
Download Apk
About Privacy Policy Feedback Report a policy violation