Kilimo Biashara 1.2.9 Apk
Rate saved, Thank!
4.8 (1 votes)
Description of Kilimo Biashara
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo. . . Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu. . . Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video. . . Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org . Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'. Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu. Email: [email protected] WhatsApp: +255 762 799 080 . ***************************************************************** Android Solutions Designed by; Mshindo Android Solutions Wanging'ombe Njombe. WhatsApp: +255 762 799 080 Email: [email protected]