Sauti ya Mara Pro 1.0.2 Apk

Sauti ya Mara Pro 1.0.2 icon
Category: Lifestyle
Requires: Android 5.0 and up
Curent version: 1.0.2
Updated: 20.04.2021
Price: Free
Size: 5.74 Mb
Download: 86

Rate saved, Thank!

0 (0 votes)

Description of Sauti ya Mara Pro

Nunua sasa uhabarike kila wakati wowote na popote pale ulipo

Kwa sababu tumeona kwamba kuna wakati wateja wetu wanapata shida hasa walio mbali na miji ya mkoa wa Mara sasa tumeona tukusogezee Gazeti lako pendwa liitwalo Sauti ya Mara kwa njia rahisi sana ya kimtandao.

Kwa sasa unaweza kununua gazeti hili kwa njia ya simu janja kwa kutumia mfumo wa Mobile Online Payment, mfumo huu hautegemei wewe kuwa na mtandao fulani tu kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL bali unaweza hata usiwenavyo lakini bado ukatumia Credit Card kununua Gazeti letu.

Vilevile mfumo huu unamruhusu mtu yeyote aliyepo nje ya nchi duniani kote kununua Gazeti letu la Sauti ya Mara kwa kutumia simu janja yake na kukubali aina yoyote ya mfumo wa malipo atakao kuwa anatumia katika nchi yake.

Sisi kama Sauti ya Mara tuko tayari kukusikilizeni, na kupokea maoni na ushauri wenu wakati wowote. Karibu tukuhudumie.

Read more...

Images

Share this App

Also from Eagle Coder Excellence

Prophet Shepherd Bushiri 1.0.3 Apk

Prophet Shepherd Bushiri

Category: Lifestyle
Free
Download Apk
T Pesa Wallet 1.3T PW Apk

T Pesa Wallet

Category: Entertainment
Free
Download Apk

Similar apps

Sauti ya Mara Pro 1.0.2 Apk

Sauti ya Mara Pro

Lifestyle
Eagle Coder Excellence
5.74 Mb
Download Apk
Jitibu Kwa Ruqya - Kwa Sauti 1.0 Apk

Jitibu Kwa Ruqya - Kwa Sauti

Health & Fitness
Mahmoud Al-Asmi
2.2 Mb
Download Apk
Tafsiri ya Quran kwa sauti 1.0 Apk

Tafsiri ya Quran kwa sauti

Education
Mahmoud Al-Asmi
5.81 Mb
Download Apk
Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili kwa Sauti 1.0 Apk

Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili kwa Sauti

Education
Mahmoud Al-Asmi
5.1 Mb
Download Apk
Biblia Takatifu na Sauti 1.8.2 Apk

Biblia Takatifu na Sauti

Books & Reference
Robert Londo
9.77 Mb
Download Apk
Mara Holy Bible 1.0 Apk

Mara Holy Bible

Books & Reference
KingOfMyHeart
4.67 Mb
Download Apk
Biblia Takatifu na Sauti - Audio Bible (Kiswahili) 2.0 Apk

Biblia Takatifu na Sauti - Audio Bible (Kiswahili)

Books & Reference
ARTEBIBLICO
10.01 Mb
Download Apk
About Privacy Policy Feedback Report a policy violation